about us

Mimi ni mzazi wa mwanafunzi mtajwa hapo juu ambaye namuombea uhamisho wa kuja kuendelea na masomo yake huku Unguja. Sababu ya kuomba uhamisho huo ni kwa ajili ya mlezi wake aliyekuwa akiishi naye kufariki, kwa hiyo hatakuwa ni mtu mwengine wa kumuangalia kimaisha na hati kumsaidia katika masomo yake hasa kwa vile sisi wazazi wake tunaishi huku.

No comments:

Post a Comment

Distributed By Blogger Themes | Designed By Seo Blogger Templates